Update The Vision

SOFTWARE


DOWNLOAD SOFTWARE KULINGANA NA RECEIVER YAKO UNAYOTUMIA.
KISHA U UPGRADE KWA KUFUATA MAELEZO YALIYOWEKWA.


FREESAT V7 06/06/2016 SOFTWARE
1. DOWNLOAD SOFTWARE YA FREESAT V7 HAPO JUU NA UIWEKE KWENYE FLASH DISK ISIYOKUWA NA KITU KUMBUKA USI RENAME HII SOFWARE WALA USIIWEKE KWENYE FOLDER, IWEKE KWENYE FLASH DISK KAMA ULIVYO IDOWNLOAD KISHA ICHOMEKE FLASH DISK  KWENYE RECEIVER YAKO.

2. WASHA RECEIVER YAKO BONYEZA MENU NENDA KATIKA TOOLS BONYEZA OK KISHA SHUKA CHINI HADI KWENYE USB BACKUP IKIWA UNATAKA CHANNEL ZAKO ZISIFUTIKE KISHA BONYEZA OK, KAMA HUTAKI KU BACKUP CHANNEL LUKA HADI NAMBA 

4.Backup Mode <User DB>
Start
3. SHUKA KWENYE START BONYEZA OK ITA BACKUP CHANNEL ZAKO KISHA EXIT.

4. BONYEZA MENU NENDA KWENYE TOOLS BONYEZA OK KISHA NENDA KATIKA USB UPGRADE BONYEZA OK.
Upgrade Mode  <All Code>
Upgrade File  <Freesat v7 hd. bin>
Start

5. KISHA SHUKA CHINI HADI KWENYE START BONYEZA OK, ITA DOWNLOAD SOFTWARE IKIMALIZA RECEIVER ITAJIZIMA NA KUJIWASHA.

6. KULUDISHA CHANNEL ULIZO BACKUP IKIWA ULI BACKUP BONYEZA MENU NENDA KATIKA TOOLS BONYEZA OK, SHUKA CHINI KWENYE USB UPGRADE BONYEZA OK.
Upgrade Mode  <User DB>
Upgrade File  <Freesat v7 hd. bin>
Start

7. KISHA SHUKA CHINI HADI KWENYE START BONYEZA OK, ITA DOWNLOAD CHANNEL IKIMALIZA RECEIVER ITAJIZIMA NA KUJIWASHA.
1. DOWNLOAD SOFTWARE YA GSKY V6 HAPO JUU NA UIWEKE KWENYE FLASH DISK ISIYOKUWA NA KITU KUMBUKA USI RENAME HII SOFWARE WALA USIIWEKE KWENYE FOLDER, IWEKE KWENYE FLASH DISK KAMA ULIVYO IDOWNLOAD KISHA ICHOMEKE FLASH DISK  KWENYE RECEIVER YAKO.

2. WASHA RECEIVER YAKO BONYEZA MENU NENDA KWENYE TOOLS BONYEZA OK KISHA NENDA KATIKA USB UPGRADE BONYEZA OK.

Upgrade Mode  <All Code>
Upgrade File  <GSKY V6 HD. bin>
Start

3. KISHA SHUKA CHINI HADI KWENYE START BONYEZA OK, ITA DOWNLOAD SOFTWARE IKIMALIZA RECEIVER ITAJIZIMA NA KUJIWASHA.
1. DOWNLOAD SOFTWARE YA ALPHABOX X4 HAPO JUU NA UIWEKE KWENYE FLASH DISK ISIYOKUWA NA KITU KUMBUKA USI RENAME HII SOFWARE WALA USIIWEKE KWENYE FOLDER, IWEKE KWENYE FLASH DISK KAMA ULIVYO IDOWNLOAD KISHA ICHOMEKE FLASH DISK  KWENYE RECEIVER YAKO.

2. WASHA RECEIVER YAKO, BONYEZA MENU SHUKA CHINI KWENYE SETTING BONYEZA OK KISHA SHUKA CHINI HADI KWENYE UPGRADE BONYEZA OK, CHAGUA USB UPGRADE BONYEZA OK, CHAGUA FAILI LA HILO RECEIVER ULILOWEKA BONYEZA OK. ITAANZA KU UPGRADE IKIMALIZA ITAJIZIMA NA KUJIWASHA.
KUONA ACCESS CONTROL, BONYEZA MENU NENDA SETTING KISHA BONYEZA 2778

SOFTCAM KEY UPDATE 17/08/2016

Update softcam key ili receiver yako ifanye autoroll kwenye channel za powervu na itaweka key za biss key mpya. 

1. CHOMEKA 3G MODEM (HUAWEI MODEL ISIWE HI LINK) YENYE VOCHA (500) KWENYE RECEIVER YAKO KISHA WASHA RECEIVER NA UBONYEZA MENU SHUKA CHINI HADI SETTING (OK) KISHA NENDA KWENYE NERTWORK (OK)
Link Type 3G Nertwork
Config (ok)
Mode Auto

2. BONYEZA BUTTON YA BLUE KUCONNECT, IKISHA KUWA CONNECTED BONYEZA EXIT.

3. BONYEZA MENU NENDA SETTING (OK) SHUKA CHINI HADI KWENYE UPGRADE (OK), SHUKA CHINI HADI KWENYE NET UPGRADE (OK) UTASUBILI KWA MDA KIDOGO KISHA UTASHUKA CHINI HADI KWENYE SOFTCAM KEY (OK) BONYEZA TENA (OK) KWENYE SOFTCAM  UTASUBILI MPAKA IKWAMBIE UPGRADE SUCCESS.

NOTE; Usifute au kuedit softcam key, kufanya hivyo utasababisha receiver yako isifanye autoroll key. 

OPENBOX V8 COMBO 19/04/2016 S0FTWARE
1. DOWNLOAD SOFTWARE YA ALPHABOX X4 HAPO JUU NA UIWEKE KWENYE FLASH DISK ISIYOKUWA NA KITU KUMBUKA USI RENAME HII SOFWARE WALA USIIWEKE KWENYE FOLDER, IWEKE KWENYE FLASH DISK KAMA ULIVYO IDOWNLOAD KISHA ICHOMEKE FLASH DISK  KWENYE RECEIVER YAKO.

2. BONYEZA MENU NENDA KWENYE TOOLS BONYEZA OK KISHA NENDA KATIKA USB UPGRADE BONYEZA OK.
Upgrade Mode  <All Code>
Upgrade File  <flash_V8Combo.bin>
Start

3. KISHA SHUKA CHINI HADI KWENYE START BONYEZA OK, ITA DOWNLOAD SOFTWARE IKIMALIZA RECEIVER ITAJIZIMA NA KUJIWASHA.

KEY EDIT KUONA BISS KEY AU POWERVU KEY BONYEZA MENU NENDA KWENYE TOOLS KISHA BONYEZA OK, SHUKA CHINI MPAKA CONDITIONAL ACCESS BONYEZA OK KISHA BONYEZA 6666 ITATOKEA KEY EDIT BONYEZA OK KWENYE KEY EDIT.


1. DOWNLOAD SOFTWARE YA Q-SAT HAPO JUU KULINGANA NA MODEL YA RECEIVER YAKO NA UIWEKE KWENYE FLASH DISK ISIYOKUWA NA KITU KUMBUKA USI RENAME HII SOFWARE WALA USIIWEKE KWENYE FOLDER, IWEKE KWENYE FLASH DISK KAMA ULIVYO IDOWNLOAD KISHA ICHOMEKE FLASH DISK  KWENYE RECEIVER YAKO.

2. WASHA RECEIVER YAKO BONYEZA MENU, BONYEZA RIGHT BUTTON MPAKA KWENYE USB UPGRADE BONYEZA OK.

3. TAFUTA FILE LA RECEIVER ULILOWEKA KWENYE FLASH DISK KULINGANA NA ULIVYO LIDOWNLOAD KISHA BONYEZA OK. ITAANZA KU UPGRADE IKIMALIZA RECEIVER YAKO ITAJIZIMA NA KUJIWASHA.
KUONA PATCH KEY BONYEZA MENU NENDA SETTING KISHA 1512 NENDA XCAM BONYEZA OK UTAONA PATCH KEY (OK)

KUACTIVATE NERTWORK(3G, WI-FI, LAN GPRS )

1. Jinsi ya Kuactivate internet kwa kutumia simcard au modem (3g) lan, kwanza utabonyeza  MENU katika remote na utascroll kushoto au kulia mpaka uikute SETTING utakuta menu ya ETHERNET CONFIG utabonyeza OK 

2. Katika LINK TYPE utachagua kwa mujibu internet unayotaka kutumia kama ni wifi ambayo itakulazimu kununua usb wife adapter, 3g
modem, Lan ila hapa tunajifunza kuset simcard ambayo utachagua GPRS NETWORK
kwa kubonyeza OK kama ni modem utachagua 3G NERTWORK na kama ni rooter utachagua LAN NERTWORK

3. Utashuka katika Config na utabonyeza OK

4. Baada ya hapo utachagua AREA Tanzania
kwa kubofya OK na kushusha chini au Juu, utabofya OK na OPERATOR utachagua
mtandao kwa mujibu wa simcard uliyoweka, kwa mfano AIRTEL na utashusha katika
AUTOLINK na utabofya ok ili kuweka alama nyekundu na ukiangilia chini upande wa kulia katika screen ya luninga yako utaona neno LINK
ambalo lina rangi ya BLUE utabonyeza alama ya blue katika remote yako na itasema
PLEAS WAIT baada ya hapo itasema NETWORK success na hiyo blue itabadilika kuwa
SHUTDOWN  utabonyeza EXIT.


JINSI YA KUWEKA ACCOUNT
WEKA SOFTWARE YA RECEIVER YAKO KWA MAELEZO YA HAPO JUU.

SCAN CHANNEL ZA DST*S AU CANALSAT KWA SATELLITE HUSIKA
SETI INTERNET YA 2G (GPRS AU 3G (MODEM) KAMA MAELEZO YANAVYOONESHA HAPO JUU, KISHA FANYA YAFUATAYO. 

BONYEZA MENU
BONYEZA BUTTON YA LEFT AU RIGHT MPAKA UPATE NENO SETTING
BONYEZA OK CHINI KABISA UTAONA NENO XCAM KAMA HALIPO BONYEZA 1512
KWENYE XCAM BONYEZA OK KISHA UTAONA NENO SPYCAM 
KWENYE SPYCAM BONYEZA OK KISHA UTAONA PIN CODE
JAZA CODE NILIZOKUPATIA KISHA BONYEZA OK

CHINI UTAONA NENO LIMEANDIKWA ACTIVATE WITH CODE BONYEZA BUTTO KIJANI KUACTIVATE.
ITAKULETEA SIKU NA MWAKA WA KUEXPIRE BONYEZA EXIT KUFURAHIA CHANNEL.




SOFTWARE HII INAKULAHIHISHIA KAZI YA KUWEKA KEY MANUAL, BADALA YA KUWEKA KEY MOJA MOJA HII INAKUWA NA KEY ZOTE UNAWEKA KWA MTINDO WA SOFTWARE.


1. DOWNLOAD SOFTWARE YA POWERVU SOFTCAMKEY HAPO JUU NA UIWEKE KWENYE FLASH DISK ISIYOKUWA NA KITU KUMBUKA USI RENAME HII SOFWARE WALA USIIWEKE KWENYE FOLDER, IWEKE KWENYE FLASH DISK KAMA ULIVYO IDOWNLOAD KISHA ICHOMEKE FLASH DISK  KWENYE RECEIVER YAKO.

NAMNA YA KUWEKA SOFTCAMKEY KWENYE RECEIVER
Q-SAT; UNAWEKA SOFTWARE HII KAWAIDA KAMA UNAVYOWEKA SOFTWARE YA Q-SAT HAPO JUU.
FREESAT V7 & GSKY V6 ; BONYEZA MENU > CONDITIONAL ACCESS (OK) KEY EDIT (OK ) > POWERVU BONYEZA BUTTON NYEKUNDU IMPORT KISHA SEVU OK.
 
ALPHABOX X4 MENU>SETTING> (BONYEZA 2778 KUONA ACCESS CONTROL) ACCESS CONTROL (OK) UPDATE FILE BY USB (OK) SOFTCAM.KEY (BLUE BUTTON LOAD FILE) EXIT. KUMBUKA UKIWEKA SOFTCAM KEY HII KWENYE ALPHABOX X4 RECEIVER YAKO HAITOFANYA AUTOROLL KEY TENA, ILI IFANYE AUTOROLL KEY WEKA SOFTCAM KEY KWANJIA YA INTERNET, MAELEZO YAKE YAHO HAPO JUU SEHEMU YA ALPHABOX X4 SOFTWARE.

2 comments:

  1. alphabox_x4_Se latest hd Powervu ok AutoRoll software

    ReplyDelete
  2. Please, i need alphabox X4 software. My Decoder is displaying, "Auto updaye TP". Then it will automatically change channel. Ineed your assistance please.
    Thanks in anticipation.

    ReplyDelete

Powered by Blogger.

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support