Update The Vision

GSKY Decoder

HELLOBOX GSKY V7 HD HIGHTLIGHTS;
1. Free to air satellite receiver dvb s2
2. Support powervu autoroll for africa and america
3. Support biss key

4. For future will support tandberg (CAS)
5. Support 3G modem

MASWALI NA MAJIBU.
# naiungaje kwenye tv yangu?
 unaiunga kwa waya wa HDMI au AV cable zote zina support.
# Inaweza kupata channel za kwenye satellite dish bure?
 Ndio inaweza ni dvb s2 kwa ajili ya channel za satellite za bure (fta) za mpeg 2, mpeg 4 na HD.
# napataje channel za bure za satellite?
unafunga satellite dish antena kulingana na channel za satellite unazohitaji.
# Inauwezo wa (CAS) Conditional Access System kuwekwa key mfano powerVu au Biss key?
Ndio ina uwezo ina support biss key na powervu autoroll ni automatic key update yaani key zikibadilika inajibadili key automatic bila wewe kujua haihitaji internet (modem) wala kuweka key ni wewe tu na dish lako.

# Channel zipi za bure ntakazopata? na je zinaonyesha mpira au movie, mieleka, music nk?
Channel za bure ziko nyingi sana, utaona channel za mpira wa ulaya epl, la liga, uefa champions league, uefa euro, fa cup kuna channel za mieleka live, movie, habari, watoto, music, dini nk. tembelea hapo juu sehemu ya "channel za bure" kuona mengi zaidi.
# Ina support cs protocol?
Ndio ina support cs protocol kwa ajili ya kuweka account za cccam na newcam
# Ina support IPTV channel (internet protocol television)?
Ndio ina support iptv  channel kwa kutumia 3g modem unaweza ku stream channel bila satellite dish kulingana na apps zilizowekwa bure.
# Inauzwaje hii receiver?
Bei yake ni 
Tsh. 310,000/=
# zinapatikana sasa hizi receiver?
Bado mzigo uko njiani tar 05/09/2016 zitakuwa zimewasili waweza weka oda sasa zitakuja kwa uchache.

Una swali zaidi? uliza usisite.



Features
FullySD/HD DVB-S2/S compliant , Support full HD 1080p  
SupportSD/HD MPEG2 and MPEG4 H.264   
DiSEqC1.0/1.1supported   
UniversalLNB, NIT search support   
BlindScanandManuallyScanallavailable TV and radio channels
Supportsoftware upgrade and auto-roll  data online update
Powerfulandhighly effective 7-day EPG function  
Multi-languagemenu, subtitle and audio output supported
USB2.0 for PVR, TimeShift ,Software upgrade and media files playback Support aspect ratio 16:9, 4:3  
Support  parental lock, local time, Teletex  and Subtitle  
Support  USB Wifiadaptor/ 3G  modem  
ConditionalAccess(Auto-rolland Multicas Support)
IKS(moststable Cccam/Newcamd)  and IPTV function support;  
Supportvarious media files, including music/photo/movie files

0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support