Update The Vision

IPTV DECODER


BEI TSH. 200,000/=



ANDROID TV BOX  MXQ PRO HD


NI TV BOX AMBAYO ITAKUPA MACHAGUO YA KUONA CHANNEL NYINGI ULIMWENGUNI KWA KUTUMIA INTERNET.

HAITUMII DISH LOLOTE, NI INTERNET TU.

INA CHANNEL NYINGI SANA ZISIZO NA IDADI KWA KUTUMIA MFUMO WA KODI TV NA APPLICATION NYINGI ZA ANDROID ZA KUWEZA KUONA CHANNEL

HUTAKOSA MPIRA HAIJALISHI WA AFRICA AU ULAYA.

HUTAKOSA MOVIE HAIJALISHI NI MPYA AU YA ZAMANI.

CARTOON, DOCUMENTARY, MUSIC, HABARI, DINI NA MENGINEYO HAPA NDO MAHALI PAKE HUTAKOSA KITU.

SKY SPORT ZOTE, SKY MOVIE ZOTE, BEIN SPORT ZOTE, SUPER SPORT ZOTE, BT SPORT, ANIMAL PLANET, BBC, CARTOON NERTWORK, PO** NA NYINGINE KIBAO.

FAHAMU APP NZURI ZA KUCHEKI CHANNEL KWENYE ANDROID TV BOX BURE.

KODI
APP HII NI NZURI INA KUPA KILE UKIPENDACHO KWA MACHAGUO MENGI, INA MOVIE, NEWS, SPORT, ADULT, CARTOON, INTERTAIMENT, MUSIC N.K KWENYE SPORT NDANI YA APP HII KUNA APP INAITWA SPORT DEVIL ITAKUPA MECHI HADI ZA MCHANGANI HUKO ULAYA.

LIVE STREAM PLAYER

APP HII NI NZURI INA CHANNEL NYINGI SANA, ZA MPIRA, MOVIE, ADULT, MUSIC,  NEWS, DOCUMENTARY, AZA* NA NYINGINEZO. UKIDOWLOAD ANGALIA JUU KWENYE APP KUNA SEHEMU YA SEARCH HAPO CLICK HAPO NA SEARCH CHANNEL MFANO UKIANDIKA HOT ZITAKUJA CHANNEL ZA ADULT, SPORT ZA MICHEZO, MOVIE ZA MOVIE AU ANDIKA JINA LA CHANNEL AU TEAM INAYOCHEZA SIKU HIYO ITAKUPA MAJIBU.

MX PLAYER

APP HII NI NZURI KWA KU PLAY VIDEO INA OPTION YA KUWEKA SUBTITLE ONLINE PIA NI NZURI KWA KU STREAM LINK ZA IPTV, COPY LINK HAPO CHINI NA KISHA U PASTE KWENYE MX PLAYER NA UTAONA CHANNEL HUSIKA.
AZA*2 LINK

SHOWBOX
SHOWBOX NI APP YA KUTAZAMA MOVIE NA SERIES, ZIWE MPYA AU ZA ZAMANI ZOTE UTAZIPATA HAPA WE SERCH TU MOVIE AU SERIES UIPENDAYO NA UTAIONA, PIA WAWEZA KU DOWNLOAD MOVIE AU SERIES.

MOBDRO
MOBDRO NI APP NZURI YA KUCHEKI CHANNEL ZA FOOTBALL,MIELEKA, NBA, RACING, CRICKET MOVIE, SERIES, MUSIC, ANIMALS, NEWS, ADULT, DOCUMENTARY, ANIMAL, MUSIC

W.S.S APP

WORLD SPORTS STREAM NI APP NZURI YA KUCHEKI CHANNEL ZA FOOTBALL, NBA, MIELEKA, RACING, CRICKET, MOVIE&SERIES, ENTERTAINMENT.

MOBIKIM APP

MOBIKIM NI APP NZURI KWA KUCHEKI CHANNEL ZA FOOTBALL, MIELEKA, KIKAPU, CRICKET, RACING, DOCUMENTARY, MOVIE, SERIES





SUPPORT HDMI CABLE
SUPPORT AV CABLE
SUPPORT MOUSE AND KEYBOARD (WIRED & WIRELESS)


WAWEZA CHEZA GAME, UKACHAT SKYPE NA MENGINE MENGI.
NERTWORK IWE 3G AU 4G, KWA KUTUMIA WI-FI AU 3G WINGLE MODEM AU ERTHERNET (ROUTER).

FAHAMU ZAIDI KUHUSU MXQ PRO ANDROID TV BOX



ANDROID TV BOX ITAKUFANYA UIFURAHIE TV YAKO



0 comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.

Recent Posts

Unordered List

Pages

Theme Support